.
10th March, 2018
Naibu Rais William Ruto amewataka wanasiasa kuridhika na maamuzi ya jana na wakome kuuliza maswali. Baadhi ya waliojitosa katika mjadala huo ni seneta wa Baringo Gideon Moi,mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati na wanasiasa wa chama cha ODM