×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mudavadi asisitiza kuwa yeye na vinara wengine wa NASA hawakushirikishwa katika maamuzi ya hapo jana

10th March, 2018

Tunaanza taarifa zetu na maoni kuhusu tukio la kihistoria lililofanyika jana la maridhiano ya kisiasa kati ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa muungano wa upinzani nchini NASA Raila Odinga.Kiongozi wa ANC . Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa yeye pamoja na vinara wengine wawili wa NASA Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula hawakushirikishwa katika maamuzi yaliyotolewa hapo jana Kalonzo naye amewataka wafuasi wake kutofadhaika kuhusiana na yaliyotekea kati ya Raila na Uhuru

 

.
RELATED VIDEOS