Mwanamke shujaa anayeshiriki mbio kadhaa za masafa marefu kwa minajili ya kufaidi wasiojiweza.
8th March, 2018
Na siku ya wanawake ilipokuwa ikiadhimishwa darubini yetu imemuangazia mama mmoja mwenye umri wa miaka sitini na nne aliyeshiriki mbio kadhaa za masafa marefu kwa minajili ya kufaidi wasiojiweza.