6th March, 2018
Mzozo umeendelea kuikumba hospitali ya rufaa ya Kenyatta huku madaktari maalum katika hospitali hiyo wakitishia kugoma iwapo madaktari wengine hawataajiriwa. Madaktari hao wametishia haya huku madaktari wanaoendelea kupata mafunzo ukiendelea kulemaza shughuli katika hopsitali hiyo kuu ya rufaa nchini.