Utepetevu Wa Madaktari:Angelos Miano alifariki kwa kile kinachodaiwa kuwa utepetevu wa madaktari
3rd March, 2018
Familia moja kutoka kaunti ya Transnzoia inataka hatua
kali kuchukuliwa dhidi ya hospitali kuu ya Kenyatta baada ya
mmoja wao Angelos Miano kufariki kwa kile kinachodaiwa
kuwa utepetevu wa madaktari