28th February, 2018
Klabu cha Muhoroni youth kimeshushwa daraja baada ya kutoshiriki michuano kadhaa ya ligi ya daraja la chini.Hata hivyo mwenyekiti wa Muhoroni youth Moses Adagala amesema kwamba shirikisho limefanya visivyo kuwashusha daraja kwani bado wana kesi mahakamani.