Gor mahia yatoka sare tasa kwa michuano dhidi ya klabu ya Tusker katika ligi kuu ya KPL
28th February, 2018
Gor mahia imetoka sare tasa dhidi ya Tusker katika mchuano wa ligi kuu huku ochovu pia ikidhihirika kwa wachezaji wa Gor mahia baada ya kushiriki michuano ya barani