.
27th February, 2018
Waziri wa usalama Fred Matiang'i ameagiza kusakwa kwa wahusika wa shambulizi la kigaidi la hivi majuzi huko Wajir. Matiang'i aliyezuru eneo hilo hii leo pia ameahidi kuwachukulia hatua machifu kadhaa baada ya wenzao wawili kutiwa mbaroni kufuatia kuzorota kwa usalama eneo hilo.