27th February, 2018
Hisia mseto zimeendelea kuhusiana na juhudi za baadhi ya wabunge wa Jubilee kutaka kumbandua jaji mkuu David Maraga. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametaja juhudi hizi kuwa za kudhalilisha Uhuru wa idara ya mahakama akisema hawataruhusu mzaha kufanyiwa idara hiyo.