×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msongamano katika barabara ya Naivasha – Nairobi waandamanaji wakitaka hatua dhidi ya Charity Ngilu

26th February, 2018

Shughuli za biashara zilitatizika kutwa nzima katika barabara kuu ya Nairobi ? Nakuru baada ya waandamanaji kufunga barabara hiyo eneo la Limuru wakishinikiza hatua kuchukuliwa dhidi ya Gavana Charity Ngilu kufuatia marufuku yake ya biashara ya makaa. Msongamano mkubwa wa magari ulishuhudiwa katika eneo hilo huku waziri Ngilu naye akisimama kidete kuhusu msimamo wake. 

.
RELATED VIDEOS