×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi nchini Tanzania azikwa

22nd February, 2018

Mwili wa akwilina akwilini, mwanafunzi aliyeuawa kwa risasi nchini Tanzania katika vurugu za maandamano kati ya wafuasi wa chama kikuu cha upinzani na polisi nchini Tanzania, umeagwa leo mjini Dar es salaam katika ibada maalumu iliyowaleta viongozi, wanasiasa, na wote walioguswa na kifo chake. Kifo cha mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 22 kimeibua mjadala wa kitaifa kuhusu ubabe wa polisi dhidi ya raia na mfululizo wa visa vya mauaji, utekaji na kupotea kwa raia wa taifa hilo.

.
RELATED VIDEOS