×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya yasonga nafasi mbili mbele kwa orodha ya kukisia viwango vya ufisadi ulimwenguni

22nd February, 2018

Kenya imesonga nafasi mbili mbele kwenye orodha ya kukisia viwango vya ufisadi ulimwenguni ya shirika la Transparency International. Sasa Kenya ipo kwenye nafasi ya 143 ikilinganishwa na 145 kati ya mataifa 180 mwaka 2016. Hatahivyo, mataifa ya rwanda, Botswana na ushelisheli bado yanang’aa sehemu hizi za dunia. Mark namaswa anaarifu zaidi

.
RELATED VIDEOS