.
22nd February, 2018
Jioni ya leo, martin wambora amepoteza kiti chake kama gavana wa Embu, kufuatia uamuzi wa mahakama uliosema uchaguzi wake ulikumbwa na hitilafu, kesi iliwasilishwa na aliyekuwa seneta Lenny Kivuti. Kwengineko, imekuwa afueni kwa gavana Ali Hassan Joho baada ya kesi iliyowasilishwa kupinga ushindi wake mbele ya mahakama ya Mombasa kutupiliwa mbali. Carolyne Bii anatufungulia taarifa zetu za leo.