×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule ya msingi Iftin kutoka Garissa yaweka kamera za kisiri baada ya walimu kuuawa

22nd February, 2018

Shule ya msingi ya Iftin kaunti ya Garissa imekuwa shule ya kwanza na ya pekee ya serikali kuweka kamera za siri ili kuhakikisha usalama wa waalimu. Haya yanajiri wiki moja watu watatu wakiwemo walimu wawili kuuwawa na wanamgambo wa Al Shabaab kaunti ya wajir. Hamza Yusuf anaarifu

.
RELATED VIDEOS