.
20th February, 2018
Joto la siasa limeendelea kukithiri katika eneo la North-Rift huku baadhi ya wabunge wakiendelea kunyoosheana kidole cha lawama hasa kuhusiana na mkondo wa siasa miaka ijayo. Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi amesema wapo baadhi ya viongozi wa Rift Valley ambao mchana wapo kambi ya naibu wa rais William Ruto jioni wapo timu pinzani.