.
20th February, 2018
Serikali ya kaunti ya Mombasa kitengo cha ukaguzi kinalalamikia kuongezeka kwa hulka ya wakaazi wa Mombasa kutotumia daraja za miguu zilizojengwa na serikali kw ushirtikian na kaunti ya Mombasa. Licha ya wao kutia nguvuni maelfu ya wakaazi mtindo huo bado waendelea.