.
20th February, 2018
Hatimaye seneta wa Siaya James Orengo na mfanyibiashara, Jimmi Wanjigi, wameondoka nchini adhuhuri ya leo kwenda mjini Harare, Zimbabwe, kuhudhuria, mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa upinzani, Morgan Tsvangirai aliyefariki juma lililopita.