×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wasiwasi wa usalama umetanda katika eneo la mlima Elgon baada ya watu 6 kuuawa

20th February, 2018

Wasiwasi wa usalama umetanda katika eneo la mlima Elgon, baada ya watu 6 kuuawa katika kijiji cha Sarai. Watu waliojihami kwa silaha hatari wanaripotiwa kutoweka na kichwa cha mmoja wa mzee wa nyumba kumi baada ya kumuua.

.
RELATED VIDEOS