×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wawili wa wizi wamekamatwa katika eneo la Kikuyu

19th February, 2018

Washukiwa wawili wa wizi wamekamatwa katika eneo la Kikuyu baada ya jaribio lao la kumnyang`anya hela mhudumu wa kituo cha mafuta kutibuka. Wawili hao waliokuwa wakiendesha pikipiki nusra wauawe na wakaazi waliokuwa na gadhabu. Maafisa wa polisi waliokuwa wakishika doria waliwaokoa na kuwapeleka katika kituo cha polisi cha Kikuyu. Washukiwa hao walipatikana na bunduki bandia. Visa vya wizi kwa kutumia pikipiki katika eneo la Kikuyu vimeongezeka na maafisa wa polisi wameahidi kukabiliana na wezi vilivyo.

.
RELATED VIDEOS