19th February, 2018
Baadhi ya walimu kutoka kaunti ya Wajir sasa wamesusia kazi kufuatia kuuwawa kwa wenzao wawili alhamisia iliyopita. Haya yanajiri huku baadhi ya walimu kazkazini mashariki wakipinga hatua ya chama cha waalimu wa shule za upili na taasisi za masomo KUPPET kuwataka walimu wasio wenyeji kuondoshwa mara moja