×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikao cha umma kuhusu mauaji ya mtoto Samantha Pendo kimeanza Kisumu

19th February, 2018

Kikao cha umma kuhusu mauaji ya mtoto Samantha Pendo kimeanza hii leo mjini Kisumu.  Hakimu mkuu mkazi wa Kisumu Beryl Omollo alitoa agizo iliyopita akisema kesi hiyo ni lazima ianze mara moja kutokana na hisia mseto zilizoibuka. Mtoto Samantha Pendo alifariki mnamo Agosti mwaka jana, baada ya kudaiwa kugongwa kichwani na polisi wakati wa ghasia zilizotokea mjini humo baada ya rais Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi.

.
RELATED VIDEOS