Alfred Keter na wafanyibiashara wengine wawili wamefikishwa mahakamani na kukanusha mashtaka
19th February, 2018
Mbunge wa Nandi Hills, Alfred Keter na wafanyibiashara wengine wawili wamefikishwa mahakamani na kukanusha mashtaka ya udanganyifu na ulaghai ikiwemo njama ya kuilaghai benki kuu hati thamani zaidi ya milioni 600.