19th February, 2018
Biwi la simanzi limeendelea kuigubika familia moja baada ya mmoja wa pacha wao kuibiwa katika hospitali ya Kenyatta. Babake pacha hao alikuwa amempeleka mkewe hospitalini humo kwa matibabu kabla ya kuwaacha wanawe mikononi mwa wanawake waliokutana nao hopsitalini.