×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi kaunti ya Nakuru wakamata watu wanne kwa madai ya leseni bandia

15th February, 2018

Maafisa wa kaunti ya Nakuru kwa ushirikiano na wenzao wa polisi wamewazuiliwa watu sita wakati wa msako dhidi ya watu waliokuwa wakiendesha biashara na leseni bandia. Maafisa hao walikuwa wakilenga wafanyibiashara wasiozingatia sheria na wenye magari ambao hawataki kulipa fedha za maegesho. Walikamatwa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. 

.
RELATED VIDEOS