.
15th February, 2018
Basi tuelekee katika nchi jirani upinzani umepata pigo kubwa nchini Zimbabwe baada ya aliyekuwa kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai kuga dunia akiwa hospitalini Afrika kusini hapo jana. Tsvangirai alikuwa mipinzani mkuu wa rais aliyeshinikizwa kujiuzulu Robert Mugabe. Paul Nabiswa anaarifu