×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wanne wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Wajir baada ya mzozo ya wafugaji

15th February, 2018

Tukirejea nchini ni kuwa watu wanne wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Wajir baada ya familia mbili za wafugaji kuzozana kutokana na lishe na maji katika eneo bunge la Wajir mashariki. Viongozi wa eneo hilo wakiongozwa na mbunge Rashid Kasim wameshutumu tukio hilo huku wakitaka maafisa wa usalama kuanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio hilo. 

.
RELATED VIDEOS