×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama yaagiza kuhusu Miguna Miguna kutoroshwa nchini Canada

15th February, 2018

Kesi kuhusu kufurushwa kwa Miguna Miguna nchini inaendelea kutia uzito wa maagizo ya mahakama kwenye mizani, jaji Luka Kimaru akiharamisha hatua ya kutimuliwa kwake nchini. Haya yakitokea wakati jaji mkuu David Maraga akijipata kwenye hafla moja na inspekta jenerali wa polisi Joseph Boinett anayekabiliwa na tuhuma za kukaidi amri za mahakama.

.
RELATED VIDEOS