.
15th February, 2018
Cyril Ramaphosa ndiye rais mteule wa afrika kusini baada ya mtangulizi wake Jacob Zuma kujiuzulu. Baraza kuu la ANC lilikuwa limemwamura zuma ajiuzulu kutokana na kashfa nyingi ambazo zimemkabili kwa miaka tisa aliyohudumu serikalini. Ramaphosa ambaye ndiye kiongozi wa ANC ameahidi kufanya kazi na vyama vya upinzani na kuboresha maisha ya watu wa Afrika kusini.