.
14th February, 2018
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri ni msemo ambao Samuel Omoll ameuenzi kwa miaka mitatu sasa. Samuel mwenye watoto wawili alianzisha mradi wa mng’aro mtaani, kwa kuwapa wakaazi wa mitaani mavazi bila malipo. Carolyne Bii alimtembelea jamaa huyo na kupakuataarifa hii.