×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wananchi watoa kauli mbalimbali kuhusu Februari tarehe kumi na nne kwa wapendanao

14th February, 2018

Februari tarehe kumi na nne kila mwaka ni siku ya mahaba kote ulimwenguni na wapendanao hujizatiti kuoneshana upendo kwa njia spesheli. Wengi hutumia maua kama njia ya kuonesha upendo. Kwa wengine, siku ya valentine ni kama siku yoyote ile. Hebu tusikilize wasemavyo wakazi wa mji wa Nyeri.

.
RELATED VIDEOS