×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakristo wakatoliki wajumuika kuashiria jumaa tano ya majivu

14th February, 2018

Wakristo wakatoliki kote ulimwenguni wamejumuika kanisani kuadhimisha jumatano ya majivu inayoashiria mwanzo wa siku arobaini za kujinyima.  Msimu huu unaofahamika kama kwaresima huwajumuisha wakatoliki katika nguzo tatu muhimu: kufunga, kuomba zaidi na kuwasaidia wasiojiweza. Papa Francis ametoa ujumbe wa kutubu dhambi, kutoa na kupokea msamaha ili kuungana na kuishi kama ndugu. Hayo yanajiri huku waumini wa kanisa katoliki wakihudhuria misa katika makanisa mbalimbali kama vile Holy Family Basilica miongoni mwa makanisa mengine kote nchini. 

.
RELATED VIDEOS