Shughuli kwenye barabara ya Ngong zilitatizika baada ya wahudumu wa matatu kuziba barabara

KTN Leo | Tuesday 13 Feb 2018 7:52 pm

Shughuli za chukuzi kwenye barabara ya kuelekea Ngong zilitatizika kutwa nzima hii leo baada ya wahudumu wa matatu kuziba barabara kulalamikia mauaji ya mmoja wao wanayodai kuwa yalitekelezwa na maafisa wa polisi.