×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi na wataalam wa Taveta waomba serikali kutobagua kwa mchakato wa ajira na uajiri

8th February, 2018

Jamii ya Wataveta sasa imeiomba serikali ya kaunti ya Taita Taveta na ile ya taifa, kutowabagua watu kutoka jamii hiyo katika mchakato wa ajira na uajiri. Kundi la wataalam kutoka jamii hiyo, linadai kutokana na uchache wao, hawajakuwa wakichukuliwa kwa uzito ima na serikali ya kaunti ama ile ya taifa.

.
RELATED VIDEOS