8th February, 2018
Chama cha walimu nchini KNUT kimepuuzilia mbali mpango wa kutathmini utendakazi wa walimu akisema unawavunja moyo walimu. Amesema kuwa wanafunzi watapuuzilia mbali mpango huo wa serikali. Katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion amesema kuwa walimu wamedhulumiwa kwa siku nyingi