8th February, 2018
Je, ungekuwa mshindi wa shilingi milioni mia mbili, ungefanyaje? Siki mbili zilizopita Gordon Ogada alitangazwa kuwa mshindi wa kiasia hicho na kampuni ya sportpesa, fedha ambazo Wakenya wengi humezea mate tu. Mwanahabari wetu Caroline Bii alipata fursa ya kuwahoji baadhi ya waliotangamana naye gordon, wengi wao wakisema kuwa Gordon alikuwa rafiki wao wa karibu.