×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sura mbalimbali za generali wa wafuasi wa NASA Miguna Miguna

7th February, 2018

Miguna miguna aligonga vichwa vya habari baada ya kutofautiana na aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga mwaka wa 2012 kwenye serikali mseto. Akajitokeza paruwanja na kuzindua kitabu chake tata cha peeling off the mask kilichomchana kinara huyo wa NASA. Hata hivyo baada ya kukikosa kiti cha ugavana wa Nairobi alichowania mwaka jana. Miguna afamikaye kwa kunena atakacho bila hofu alionekana kuegemea mrengo wa upinzani na hatimaye kujipata ndani ya kambi ya NASA. Miguna baadaye alijitangaza kuwa jenerali wa vuguvugu la NRM? Kenya. Huyu hapa mkuu wa kitengo cha kiswahili Paul Nabiswa akizichmbua hatua za Miguna hadi kufushwa kwake nchini hapo jana

.
RELATED VIDEOS