.
6th February, 2018
Siku tisa baada ya mkasa wa moto wa Kijiji, eneo la Langata jijini Nairobi kuzuka, kilichosababisha mkasa huo kimesalia kitendawili. Waathiriwa wa janga hilo wamefanya makoa katika shule moja iliyoka karibu na eneo la mkasa, huku wakipokea usaidizi wa kila aina japo kwa muda mfupi.