×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji wa mahakama kuu Luka Kimaru ameagiza kuachiliwa kwa Miguna Miguna aliyekuwa akizuiliwa

6th February, 2018

Jaji wa mahakama kuu Luka Kimaru ameagiza kuachiliwa kwa kiongozi wa vuguvugu la NRM Miguna Miguna aliyekuwa akizuiliwa tangu Ijumaa iliyopita. Kwenye uamuzi wake, Jaji Luka Kimaru amesema amethibitisha kuwa Miguna alikuwa akizuiliwa katika jengo la mahakama ya Milimani wakati wa uamuzi huo, akionekana kujibu tetesi za alikokuwa Miguna. Aidha ameagiza awasilishwe mahakamani Kajiado mnamo tarehe 14 mwezi huu akiishutumu idara ya polisi na ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka kwa kukiuka agizo la mahakama. 

.
RELATED VIDEOS