31st January, 2018
Baadhi ya wabunge wa chama cha odm wamedai kuwa watautathmini kwa undani uhusiano wao ndani ya NASA na wenzao chama cha Wiper, ANC na Ford Kenya.hii inajiri baada ya Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi na Moses Wetangula kukosa kuhudhuria uapisho wa Raila Odinga hapo jana Geff Kirui na maelezo zaidi