×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baada ya Raila Odinga kuapishwa katika bustani ya Uhuru wenyeji wa Kisumu walisherekea hatua hiyo

30th January, 2018

Baada ya Raila Odinga kuapishwa katika bustani ya Uhuru wenyeji wa Kisumu walisherekea hatua hiyo .Wenyeji hao waliimba nyimbo na kusherehekea katika barabara za mji wa Kisumu. Kisumu ni moja ya kaunti ambazo hazikushiriki katika kura ya marudio ya kura za urais ya Oktoba 26. Aidha waliishutumu serikali kwa kuzima matangazo ya baadhi ya ruinga za humu nchini

 

.
RELATED VIDEOS