.
30th January, 2018
Mamia ya wafuasi wa muungano wa NASA kutoka mtaa wa Kibera walimiminika katika bustani ya UhuruPark ili kushuhudia kuapishwa kwa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka kama rais na naibu wake hali katika mtaa huo wa Kibera ilikuwa ya utulivu huku maafisa wa usalama wakishika doria katika barabara ya Ngong