×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Makavazi ya Wamalwa

29th January, 2018

Huku maandalizi ya mazishi ya mjane wa aliyekuwa makamu wa rais marehemu Michael Wamalwa, Yvonne yakiendelea, makavazi ya kitaifa yanasema kuwa boma hilo sasa litafanywa kuwa kama makavazi ya kitaifa. Akiongea katika boma kwenye eneo la milimani mjini Kitale, mwakilishi wa makavazi ya kitaifa kizili chole amesema kuwa hiyo itakuwa njia moja ya kuhifadhi historia ya nchi hii. Wakati huo huo viongozi kutoka eneo hilo Trans?Nzoia walitumia fursa hiyo kumpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kumteua tena Eugene Wamalwa kwenye baraza la mawaziri. 

.
RELATED VIDEOS