×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru amewasilisha bungeni majina tisa ya aliowateuwa kuwa mawaziri

29th January, 2018

Rais Uhuru Kenyatta hii leo amewasilisha bungeni majina tisa ya aliowateuwa kuwa mawaziri, pamoja na makatibu saba na mengine saba ya mabalozi teule ili kuanza kwa mchakato wa kuwapiga msasa bungeni. Haya yanajiri wakati mwanaharakati Okiya Omtata akiwasilisha kesi katika mahakama kuu kupinga kuundwa kwa ofisi mpya ya katibu msimamizi wa wizara. Wananchi wana siku saba kuwasilisha malalamishi yoyote bungeni dhidi ya maafisa wanaopigwa 

.
RELATED VIDEOS