×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke Ngangari: Judith Tanui,anashughulikia kuwaokoa watu taahira

28th January, 2018

           Kazi yake ni kuwashughulikia watu wenye akili taahira katika

           mji wa eldoret na viunga vyake. Judith Tanui huzunguka mji

           huo kuwatafuta watu ambao aidha wameathirika na

           mihadarati au hata kuwa taahira kwa sababu nyinginezo na

           kuwapa stara. Judith amesimama kidete kuhakikisha  kuwa

           anachokifanya kinatimia licha ya changamoto na fitina

           kutokana na kazi hii anayoifanya kama elvis kosgey

           anavyotueleza kwenye makala ya leo ya Mwanamke

           Ngangari

.
RELATED VIDEOS