27th January, 2018
Wakenya kadhaa jana walitunukiwa kutokana na rekodi zao za kupigania haki za binadamu katika nyanja mbalimbali.hafla hiyo iliandaliwa katika Ubalozi wa Uholanzi nchini Kenya na dhamira kuu ilikuwa kuwatuza mashujaa wa kupigania haki katika jamii. Waliokuwa katika jopo wanajumuisha aliyekuwa jaji mkuu dkt. Willy mutunga miongoni mwa wanaharakati wengine