×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mjane wa aliyekuwa makamu wa Rais Yvonne Wamalwa ameaaga dunia maeneo ya Nanyuki

25th January, 2018

Maandalizi ya mazishi ya mjane wa aliyekuwa makamu wa rais nchini Michael Kijana Wamalwa, Yvonne Wamalwa yanatarajiwa kuanza baada ya mwili wake kupelekwa katika hifadhi ya maiti ya lee hapa Nairobi. Yvonne Wamalwa amefariki mapema hii leo akipokea matibabu katika hospitali ya Nanyuki cottage ambapo alipata matatizo alipokuwa kwa dadake. Viongozi mbalimbali akiwemo waziri wa maji Eugene Wamalwa wamekuwa wakifika katika hifadhi ya maiti ya lee kufarijiana.

.
RELATED VIDEOS