×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha KUDHEA chataka polisi kuchunguza maadai ya wafanyikazi kubaka wagonjwa

24th January, 2018

Chama cha wafanyikazi wa mikahawa, hospitali, hoteli na maeneo ya burudani, KUDHEIHA, kimewataka polisi kufanya uchunguzi ili kutegua kitendawili cha madai ya wagonjwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta kubakwa na wafanyikazi. Katibu mkuu wa chama hicho, Albert Njeru, amesema ni kupitia uchunguzi na hatimaye kubaini vyanzo vya habari hizo ndipo ukweli na haki kwa waathiriwa vitatekelezwa.

.
RELATED VIDEOS