.
24th January, 2018
Familia moja kutoka eneo la chebonet kaunti ya Elgeyo Marakwet inaishi kwa dhiki kutokana na maradhi ya moyo yaliyomkumba mwanao Gracious Jepkoech. Jepkoech, tangu kuzaliwa kwake hajawahi kutembea wala kuzungumza. Elvis Kosgei na maelezo zaidi