.
24th January, 2018
Ulipozindua utekelezaji wa ahadi zake kwa Wakenya, uongozi wa rais Uhuru Kenyatta ulianzisha miradi ya vipakatalishi shuleni miaka mitatu iliyopita, licha ya vipakatalishi hivi kutolewa shuleni, baadhi ya wanafunzi kama wale wanaosomea shule moja huko Pokot magharibi bado wanasalia kwenye hali ya kutoweza kutumia mitambo hiyo ya teknolojia kutokana na hali mbaya shuleni mwao. Carolyne Bii na taarifa hiyo