×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaotafuta kazi walipa gharama kubwa

23rd January, 2018

Mara nyingi wakenya hujipata katika hali ya kutafuta kazi, na mara nyingi zoezi hili la kutafuta ajira sio jambo rahisi.  Ni zoezi ambalo linazidi kuwa zito zaidi kwa wakenya, hasaa kwa wale wasio na uwezo wa kifedha. Baadhi ya wakenya wanaotafuta ajira kufuatilia safari yao ambayo sasa hugharimu malefu ya pesa kutokana na stakabadhi zinazohitajika

.
RELATED VIDEOS